Nenda kwa yaliyomo

Marko II wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marko II wa Aleksandria (kwa Wakopti: Markianos; alifariki 14 Januari 152) kuanzia mwaka 141 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 8 wa Kanisa la Kikopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Meinardus, Otto F.A. (2002). Two Thousand Years of Coptic Christianity. American University in Cairo Press. ISBN 978-977-424-757-6.
  • Atiya, Aziz S. The Coptic Encyclopedia. New York: Macmillan Publishing Co., 1991. ISBN 0-02-897025-X

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.