Abibi na Apoloni
Mandhari
Abibi na Apoloni walikuwa wamonaki Wakristo wa karne ya 4 kutoka Akhmim, Misri.
Abibi alipata ushemasi na ndiye aliyetangulia kufariki.
Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Novemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
- Budge, Sir E.A.Wallis (1976). the book of the saints of the Ethiopian church, Vol 1. Cambridge: CUP Archive. uk. 192.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |