Andrea, Yohane, Petro na Antoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Andrea, Yohane, Petro na Antoni (walifariki 890 hivi) walikuwa Wakristo wa mji wa Siracusa (Sicilia, Italia) waliotekwa na Waislamu tarehe 21 Machi 878 na kupelekwa Afrika.

Kwa kuwa walikataa kusilimu, waliuawa kwanza Yohane na watoto wake, miaka ya baadaye Andrea pia.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Septemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea, Yohane, Petro na Antoni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.