Ponsyo wa Karthago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ponsyo akishuhudia kifodini cha Sipriani.

Ponsyo wa Karthago (alifariki 262) alikuwa shemasi wa askofu Sipriani mfiadini katika Tunisia ya leo.

Alikwenda naye uhamishoni[1], hatimaye akaandika vizuri ajabu habari za maisha yake na za kifodini chake (Vita Cypriani)[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Machi[3][4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. Pont. 12, 3 et me inter domesticos comites dignatio caritatis eius elegerat exulem voluntarium ("The judgement of his kindness had chosen me to as a voluntary exile among the companions of his house").
 2. Harnack (1913) 2; Mohrmann (1975) xii.
 3. Martyrologium Romanum
 4. https://catholicsaints.info/saint-pontius-of-carthage/

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

There are critical editions in Hartel (1871) xc–cx, Harnack (1913) taken from Hartel, Pellegrino (1955) and A.A.R. Bastiaensen in Mohrmann (1975), 1-48. Bastiaensen in Mohrmann (1975), 278–9, and Schmidt (1997) provide bibliographies. Harnack (1913), Pellegrino (1955) and Bastiaensen in Mohrmann (1975), 249–77 provide commentaries.

 • Dessau, H. (1916) "Pontius der Biograph Cyprians" Hermes 51, 65–72
 • Dessau, H. (1918) "Das Alter der römischen Municipalbeamten" Hermes 53, 221–4.
 • Harnack, A. (1913) Das Leben Cyprians von Pontius (Leipzig: J. C. Hinrichs'sche Buchhandlung)
 • Hartel, G. (=W.) (1871) S. Thasci Caecili Cypriani Opera Omnia Vol. 3 (Vienna: CSEL)
 • Mohrmann, C. (1975) Vita di Cipriano, Vita di Ambrogio, Vita di Agostino (Milan: Mondadori) ISBN|88-04-12191-2
 • Pellegrino, M. (1955) Vita e martirio di San Cipriano (Alba: 1955)
 • Saxer, V. (1994) "Afrique Latin" 25-95 in G. Philippart (ed.) Hagiographies vol. 1 (Turnhout: Brepols) ISBN|2-503-50408-6
 • Schmidt, P. L. (1997) "Pontius, Vita Cypriani" 433-5 (§472.10) in K. Sallmann (ed.) Die Literatur des Umbruchs von den römischen zur christlichen Literatur 117 bis 284 n. Chr. (Munich: Beck, vol. IV of the Handbuch der lateinischen Literatur der Antike ed. R. Herzog and P. L. Schmidt) ISBN|3-406-39020-X

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.