Fidensyani, Valeriana, Viktorya na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fidensyani, Valeriana, Viktorya na wenzao kumi na saba ni wafiadini wa Hippo waliosifiwa na Augustino wa Hippo.

Fidensiani alikuwa askofu.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Novemba[1][2].

Inawezekana watakatifu Fidensyani, Sekundo, Variko na wenzao wanaoheshimiwa siku hiyohiyo[3] na watakatifu Bariko, Donati, Honorati, Januari, Marko, Paulo, Rufino, Valeri, Vikta, Vitalis na Yusto wanaoadhimishwa kesho yake[4], si wa kundi lingine.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.