Kumi na saba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kumi na saba ni namba inayoandikwa 17 kwa tarakimu za kawaida na XVII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 16 na kutangulia 18.

17 ni namba tasa.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumi na saba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.