Hesiki wa Gaza
Mandhari
Hesiki wa Gaza (alifariki Maiuma, Palestina, karne ya 4) alikuwa mkaapweke mwanafunzi wa Hilarioni wa Gaza, aliyefuatana naye katika safari zake [1] kwenda Misri, Sicilia, Dalmatia na Kupro.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[2].
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]Chanzo kikuu cha maisha yake ni kitabu cha Jeromu kuhusu Hilarioni [3] kilichoandikwa mwaka 390 huko Bethlehemu kwa lengo la kuhimiza umonaki.[4]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Mababu wa jangwani
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/72680
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Kirsch, Johann Peter. "St. Hilarion." The Catholic Encyclopedia. Vol. 7. New York: Robert Appleton Company, 1910. 28 Jan. 2013
- ↑ Nicene and Post-Nicene Fathers, Second Series, Vol. 6. Edited by Philip Schaff and Henry Wace, translated by W.H. Fremantle, G. Lewis and W.G. Martley. (Buffalo, NY: Christian Literature Publishing Co., 1893.) Revised and edited by Kevin Knight
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |