Dioskoro I wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dioskoro I wa Aleksandria (alifariki mnamo Septemba 454) kuanzia mwaka 444 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 25 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu pamoja na Waorthodoksi wa Mashariki wengine.

Kumbe Mtaguso wa Kalsedonia (451) ulikuwa umemuondoa madarakani hivi kwamba alifariki uhamishoni.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.