Nenda kwa yaliyomo

Thais

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Thais alivyochorwa na José de Ribera.

Thais alikuwa mwanamke wa karne ya 4 wa huko Aleksandria, Misri, ambaye baada ya kuishi kwa anasa alihamia jangwani kuishi kwa toba kali[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Oktoba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Catholic Encyclopedia (1917)". Iliwekwa mnamo 2008-08-03.
  2. The lives of the desert saints and hermits of Egypt, including St. Thaïs, were collected in the Vitae Patrum [Lives of the Desert Fathers].
  3. https://catholicsaints.info/saint-thais-the-penitent/

Marejeo kwa Kiswahili

[hariri | hariri chanzo]
  • S.J.RUPYA, Makahaba wa jangwani, BPNP 1996, isbn 9976634765.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.