Yohane XIV wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yohane XIV wa Aleksandria (alifariki 6 Septemba 1586) kuanzia mwaka 1571 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 96 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.