Dioskoro wa Qais

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dioskoro wa Qais (alifia dini Aleksandria, Misri, 305 hivi) alikuwa Mkristo wa Qais, Misri.

Baada ya kukaa muda mrefu gerezani kwa ajili ya imani yake, aliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Mei au 13 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dioskoro wa Qais kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.