Egidi, Luis, Yohane na Paulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Egidi, Luis, Yohane na Paulo, O. de M. walikuwa watawa wa Kanisa Katoliki ambao walikwenda Fez (Moroko) kukomboa watumwa na kuhubiri Injili. Baada ya kukamatwa, walikatwa viungo mbalimbali na hatimaye kichwa kwa ajili ya imani yao[1].

Wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 17 Juni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.