Marusi, Restiti na Julius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marusi, Restiti na Julius ni kati ya Wakristo wa Tunisia ya leo waliofia dini yao.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 4 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.