Nenda kwa yaliyomo

Krisanto na Daria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini cha Wat. Krisanto na Daria.
Mchoro mdogo wa karne ya 14
Sanamu yao katika kanisa la Wat. Krisanto na Daria, Bad Münstereifel, Ujerumani.

Krisanto na Daria (walifariki 253 hivi) ni mume na mke Wakristo waliopata umaarufu tokea zamani kama wafiadini[1], ambao juu ya makaburi yao mjini Roma limejengwa kanisa.[2]

Krisanto alitokea Aleksandria (Misri) na kuhamia Roma kwa ajili ya masomo. Baada ya kufahamiana na padri Karpoforo, alibatizwa akaleta wengi kwa Yesu Kristo, mmojawao Daria.

Hatimaye walizikwa wakiwa hai katika dhuluma ya kaisari Numeriani.

Wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu.

Sikukuu yao inaadhimishwa tarehe 25 Oktoba[3] au 19 Machi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Martyrologium Hieronymianum
  2. "Sts. Chrysanthus and Daria". Catholic Encyclopedia, 1908. new advent.org. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.