Pafnusi wa Nitria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pafnusi wa Nitria alikuwa mmonaki katika jangwa la Nitria, halafu askofu nchini Misri katika karne ya 10.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakopti kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. [1] Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine. Coptic Synexarion
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.