Modesti, Eutiko, Mauro na Disei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Modesti, Eutiko, Mauro na Disei ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliofia dini yao.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 21 Oktoba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.