Aristo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aristo (pia: Arator) alikuwa padri wa Aleksandria (Misri) ambaye alikubali kuteswa na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[1].

Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 21 Aprili[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.