Proteri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Proteri (alifariki 28 Machi 457) alikuwa Patriarki wa Aleksandria tangu mwaka 451 hadi alipouawa na Wakristo waliokataa maamuzi ya Mtaguso wa Kalsedonia[1][2].

Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini[3] chake au tarehe 28 Februari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Proteri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.