Yohane Maria Muzei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Yohane Maria Muzei (Mzee) ni wa mwisho kuuawa kati ya wafiadini wa Uganda wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu.

Mzaliwa wa eneo la Kagera (katika Tanzania ya leo), alikuwa mtumishi wa kabaka wa Buganda Mwanga II.

Baada ya kumsadiki Yesu Kristo na kubatizwa, alikiri kwa hiari imani yake mbele ya waziri mkuu wa mfalme na kwa sababu hiyo alikatwa kichwa huko Mengo tarehe 27 Januari 1887.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • J. FRANSE, W.F., Mashahidi 22 wa Uganda – tafsiri ya C. Kuhenga n.k. – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1981
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohane Maria Muzei kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.