Nenda kwa yaliyomo

Mena, Hermogene na Eugrafo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mena, Hermogene na Eugrafo (walifariki Aleksandria, 312 hivi) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Desemba[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.