Yusto wa Lyon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake juu ya kanisa lake mjini Lyon.

Yusto wa Lyon (alifariki Skete, 390 hivi) alikuwa askofu mkuu wa 13 wa mji huo, leo nchini Ufaransa, tangu mwaka 350 hivi[1][2][3], lakini miaka yake ya mwisho alikwenda kuishi jangwani na wamonaki wa Misri[4][5][6].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Septemba[7].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Guillaume Paradin , Memoires De L'Histoire De Lyon (By Antoine Gryphius, 1573) p61
  2. Étienne Joseph Poullin de Lumina (1770). [[[:Kigezo:Google books]] Histoire de l'église de Lyon [Church history of Lyon]] (kwa Kifaransa). Joseph-Louis Berthoud. uk. 56. 
  3. Monks of Ramsgate. “Justus of Lyons”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 2 September 2016
  4. “Saint Justus of Lyons“. CatholicSaints.Info. 2 September 2017
  5. Rivard, Eugene Louis. "Clerics of Saint Viator." The Catholic Encyclopedia Vol. 15. New York: Robert Appleton Company, 1912. 17 April 2015
  6. http://www.santiebeati.it/dettaglio/68660
  7. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.