Nenda kwa yaliyomo

Vinsenti wa Digne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Digne-les-Bains leo.

Vinsenti wa Digne (alifariki Digne, leo nchini Ufaransa, 394) alikuwa askofu wa pili wa mji huo baada ya mwenzake Domnini kuanzia mwaka 380[1] [2].

Mzaliwa wa Afrika Kaskazini, tena Mberberi, alikwenda Roma mwaka 313 kushiriki sinodi dhidi ya Wadonati akatumwa na Papa Miltiades huko Ufaransa alipoinjilisha sehemu mbalimbali hadi Italia Kaskazini.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "L'histoire du diocèse". Diocèse catholique de Digne Riez et Sisteron. 16 Novemba 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-25. Iliwekwa mnamo 12 Nov 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Saints Vincent et Domnin". Nominis. Iliwekwa mnamo 12 Nov 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.