Tigre
Mandhari
Tigre (pia: Tigris, Tygris, Thècle[1]; alifariki Saint-Jean-de-Maurienne, Savoie, leo nchini Ufaransa, karne ya 6) alikuwa bikira mkaapweke akieneza heshima kwa Yohane Mbatizaji baada ya kuhiji Nchi takatifu na Misri[2].
Tangu kale ameheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 25 Juni[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Congrès archéologique de France, Volumes 123 à 124, 1965, page 51.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92858
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Jean Prieur, Hyacinthe Vulliez, Saints et saintes de Savoie, La Fontaine de Siloé, 1999, 191 p. (ISBN 978-2-84206-465-5), p. 19-23
- Saturnin Truchet, « Sainte Thècle, vierge (VIe siècle) », dans Abbé Saturnin Truchet, Histoire hagiologique du Diocèse de Maurienne, Chambéry, Imp. Puthod, 1867, p. 13-37
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |