Abili wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Abili wa Aleksandria (pia: Avili, Abiti, Mili, Meli au Sabeli) alikuwa askofu wa tatu wa mji huo wa Misri (86 hivi - 11 Septemba 95)[1].

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Synaxarion, Copto-Arabic. Jalada kutoka ya awali juu ya 22 November 2016. Iliwekwa mnamo 22 November 2016.
  2. http://catholicsaints.info/saint-abilius-of-alexandria/

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abili wa Aleksandria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.