Yusto na Theoklia
Mandhari
Yusto na Theoklia (walifia dini katika karne ya 4) walikuwa mume na mke Wakristo wa Aleksandria (nchini Misri) ambao waliuawa kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Hata hivyo waliuawa sehemu na siku tofauti.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu ya mume huadhimishwa tarehe 17 Februari na ya mke tarehe 19 Mei.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |