Simeoni na Yohane
Mandhari
Simeoni na Yohane (Edessa, Mesopotamia, leo nchini Uturuki karne ya 5 - Homs, Syria 550 hivi[1]) walikuwa marafiki walioongozana hadi kifo kufuata maisha ya kimonaki jangwani (hasa karibu na ziwa Mariout, Misri) lakini pia kwa kujifanya vichaa kwa ajili ya Kristo ili kudharauliwa na watu, kama walivyongozwa na Roho Mtakatifu [2][3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.
Sikukuu yao ni tarehe 21 Julai[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Oxford Dictionary of Byzantium|title=Symeon of Emesa |last=Kazhdan |first=Alexander |authorlink=|url=|volume=|page=1984
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/60300
- ↑ OrthodoxWiki, Συμεών Εμέσης
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |