Homs

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Al-Shuhadaa huko Hims, Syria. Katikati ni mnara wa Saa ya Kale, uliojengwa na Wafaransa.
Uwanja wa Al-Shuhadaa huko Hims, Syria. Katikati ni mnara wa Saa ya Kale, uliojengwa na Wafaransa.

Homs (zamani: Emesa) ni mji wa Syria lenye wakazi 775,000, wa tatu baada ya Damasko na Aleppo.

Amekaliwa tangu mwaka 2300 KK. Jengo muhimu zaidi kihistoria ni Krak des Chevaliers.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Homs kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.