Maksimiliani wa Tebessa
Mandhari
Maksimiliani wa Tebessa (au wa Numidia; 274- 12 Machi 295) alikuwa kijana Mkristo katika Algeria ya leo aliyefia dini yake kwa kukatwa kichwa[1].
Mtoto wa askari Fabius Victor, alilazimishwa kujunga na jeshi la Dola la Roma, lakini alikataa kula kiapo cha uaminifu kwa Kaisari na kuwa mwanajeshi akitaja kama sababu imani yake [2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ott, Michael. "Maximilian." The Catholic Encyclopedia. Vol. 10. New York: Robert Appleton Company, 1911. 15 Mar. 2013
- ↑ Richard Alston, Soldier and Society in Roman Egypt, London and New York: Routledge, 1995, ISBN 0-415-12270-8, p 149.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/44700
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |