Makari I wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makari I wa Aleksandria (alifariki 953) kuanzia mwaka 933 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 59 wa Kanisa la Kikopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Aprili.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makari I wa Aleksandria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.