Beresi na wenzake

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Beresi na wenzake Lusius, Vikta, Dasi, Leusi, Viktoriki, Viktorisi, Faustini na Marsiali (walifariki 300 hivi) ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini waliofia dini yao. Beresi alikuwa askofu.

Hayajulikani mengine kuhusu historia yao, ila tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Oktoba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.