Nenda kwa yaliyomo

Gudene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Gudene (pia: Gidina, Giddina, Guddenas, Guddentes, Guddina, Giddinus, Gaudentes; alifariki Karthago, leo nchini Tunisia, 27 Juni 203) alikuwa mwanamke Mkristo aliyeteswa kikatili kwa namna mbalimbali na hatimaye kuuawa kwa upanga kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Septimius Severus[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Juni[2][3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.