Nenda kwa yaliyomo

Simeoni II wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Simeoni II wa Aleksandria (alifariki 6 Oktoba 830) kuanzia tarehe 15 Februari ya mwaka huohuo hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 51 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.