Nenda kwa yaliyomo

Habib Girgis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Habib Girgis (yaani Mpendwa Joji; jina kamili likiwa Habib Qozman Mankarious Girgis; 1876 - 21 Agosti 1951) alikuwa shemasi wa Kanisa la Wakopti aliyewajibika sana kuinua ujuzi wa dini katika Kanisa hilo[1].

Alitangazwa na Sinodi yake kuwa mtakatifu tarehe 20 Juni 2013.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-21. Iliwekwa mnamo 2020-02-21.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.