Lebna Dengel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme alivyochorwa akiwa hai.

Lebna Dengel (ልብነ ድንግል; Ləbnä Dəngəl, yaani "Ubani wa Bikira"; pia: Negus Negesti Dawit II; Debrà Damò, 1500 hivi - Debrà Damò, 2 Septemba 1540), ni kati ya wafalme maarufu zaidi wa Ethiopia (13 Agosti 1507 - 2 Septemba 1540).

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Septemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.