Ospisi wa Nizza
Mandhari
Ospisi wa Nizza (alifariki Cap Ferrat, Villefranche-sur-Mer, leo kusini mwa Ufaransa, 580 hivi) alikuwa Mkristo wa Misri aliyeishi miaka mingi kama mkaapweke katika mnara wa zamani karibu na Nizza, na ndipo alipofariki.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[1][2].
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Gregori wa Tours alisema watu mbalimbali waliwahi kuandika juu ya Ospisi, lakini habari zilizotufikia ni zile tu alizoziandika mwenyewe[3], akimsifu kwa juhudi zake na kwa karama zake za unabii na miujiza. Kati ya mengine, alitabiri uvamizi wa Walombardi[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Ὁ Ὅσιος Ὁσπίτιος ὁ Ἐρημίτης. 21 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- ↑ Historia ya Wafaranki, kitabu VI, sura VI.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/54260
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |