Nenda kwa yaliyomo

Nice

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Nice

Nice ni mji wa Ufaransa kusini, katika mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 970,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 0-520 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nice kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.