Teodoriko Balat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Teodoriko Balat (Saint-Martin-du-Taur, Ufaransa, 23 Oktoba 1838 - Taiyuan, 9 Julai 1900) alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia dini China alipokuwa mmisionari wakati wa Uasi wa Waboksa.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teodoriko Balat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.