Umile wa Bisignano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Umile wa Bisignano (26 Agosti 1582 - 26 Novemba 1637), alikuwa bradha mnyenyekevu ajabu wa shirika la Ndugu Wadogo Wareformati.

Jina la awali lilikuwa Luca Antonio Pirozzo.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa kwanza mwenye heri na Papa Leo XIII tarehe 29 Januari 1882, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 19 Mei 2002.[1]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.