Wareformati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wareformati ni jina la watawa wa mashirika mbalimbali waliofuata urekebisho.

Kwa mfano, katika karne ya 16 Ndugu Wadogo wa Italia waliokuwa hawajajiunga na Wakapuchini lakini walipenda maisha magumu zaidi kadiri ya kanuni ya Fransisko wa Asizi waliruhusiwa kuenda kuishi pamoja katika konventi za urekebisho. Ndiyo sababu waliitwa Wareformati.