Bernardo wa Corleone

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bernardo wa Corleone

Bernardo wa Corleone (Corleone 6 Februari 1605 - Palermo 12 Januari 1667) alikuwa bruda wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia.

Mwaka 1768 alitangazwa na Papa Klementi XIII kuwa mwenye heri.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II tarehe 10 Juni 2001.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 12 Januari[1].

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Filippo Latini aliingia utawa kisha kupigana na Vito Canino kwa panga mwaka 1626.

Shirikani aliishi katika konventi mbalimbali kama ifuatavyo:

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • [1] Tovuti rasmi ya Mt. Bernardo wa Corleone.
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.