Maria Alfonsa Matathupadathu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Mt. Alfonsa.

Maria Alphonsa Muttathupadathu (Kudamalloor, karibu na Kottayam, huko Kerala[1]19 Agosti 1910 - 28 Julai 1946) alikuwa mtawa Mfransisko wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar nchini India.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 8 Februari 1986 akatangazwa mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 12 Oktoba 2008.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "St. Alphonsa – Our Patroness" St. Alphonsa Church, Bangalore. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-22. Iliwekwa mnamo 2015-02-06.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.