Ludoviko wa Casoria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ludoviko wa Casoria, O.F.M. (Casoria, karibu na Napoli, 11 Machi 1814Posillipo, Napoli 30 Machi 1885), alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo na padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Alipata umaarafu kwa kupambana na ufukara wa jamii na kwa kuanzisha mashirika mawili ya kitawa: Ndugu wa Kijivu wa Upendo na Masista wa Kijivu wa Mt. Elizabeti.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri mwaka 1993.[1] halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 23 Novemba 2014.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. The Papacy of John Paul II. Freecatholicpamphlets.org. Iliwekwa mnamo 2013-04-25.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Acta Ordinis Minorum (May, 1907), 156-158;
  • The Catholic World (November, 1895), 155-166;
  • Voce di Sant' Antonio (July, 1907), 23-26.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]