Nenda kwa yaliyomo

Simoni Chen Ximan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Simoni Chen Ximan (Anyang 1855 hivi - Taiyuan 9 Julai 1900) alikuwa Mfransisko wa Utawa wa Tatu aliyefia dini nchini mwake China wakati wa Uasi wa Mabondia.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Sala ya Kanisa ya Ki-fransisko - Benedictine Publications Ndanda - Peramiho, 1996, uk. 173-176
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.