Maria Bernarda Buetler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Maria Bernarda.

Maria Bernarda Bütler, kwa jina la awali Verena Bütler (Auw, Aargau, Uswisi, 28 Mei 1848Cartagena, Colombia, 19 Mei 1924), alikuwa mtawa wa Uswisi mmisionari huko Amerika Kusini.

Huko alianzisha shirika la kitawa la Masista Wamisionari Wafransisko wa Bikira Maria Msaada wa Wakristo,[1] lenye nyumba nchini Ecuador, Colombia, Austria, na Brazil.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 29 Oktoba 1995, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Oktoba 2008.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Bernarda Buetler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.