Louis Martin
Mandhari


Louis Martin (Bordeaux, Gironde, Ufaransa, 22 Agosti 1823 - Arnières-sur-Iton, Eure, Ufaransa, 29 Julai 1894) alikuwa mwanamume Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.
Pamoja na mke wake, Marie-Azélie Guérin, alitangazwa na Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 19 Oktoba 2008, halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 18 Oktoba 2015.
Ni maarufu hasa kutokana na mtoto wao wa tisa na wa mwisho, mtakatifu Teresa wa Mtoto Yesu, O.C.D., bikira na mwalimu wa Kanisa, aliyeandika vizuri ajabu juu ya uadilifu wao.
Maandishi
[hariri | hariri chanzo]Mwaka 2011 barua 216 za Zélie na 16 za Louis Martin zilitolewa kwa Kiingereza katika kitabu A Call to a Deeper Love: The Family Correspondence of the Parents of Saint Therese of the Child Jesus, 1863–1885 (ISBN 0818913215).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Vyanzo kwa Kiswahili na Kihaya
[hariri | hariri chanzo]- THERESIA WA MTOTO YESU, Ua la Upendo, Maisha ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Aliyoyaandika Yeye Mwenyewe – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Paulines Publications Africa – Nairobi 1992 – ISBN 9966-21-021-0
- THEREZA OW’OMWANA YEZU – Akamuli k’engonzi, Oburora bw’Omutakatifu Thereza Ow’omwana Yezu Obwo Yayehandikire Wenene – tafsiri ya J. J. Rwechungura – ed. Marianum Press Kisubi – Kisubi 1960
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints Louis and Zelie Martin, the Parents of Saint Therese of Lisieux
- The Shrine of Louis and Zélie Martin in Alençon Ilihifadhiwa 7 Desemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- Web site Léonie Martin
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |