Kihaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihaya ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahaya. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihaya imehesabiwa kuwa watu 1,300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihaya iko katika kundi la E20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Betbeder, Paul; Jones, John. 1949. A handbook of the Haya language. Bukoba (Tanganyika): White Fathers Printing Press.
  • Byarushengo, Ernest Rugwa; Duranti, Alessandro; Hyman, Larry M[ichael]. (Eds.) 1977. Haya grammatical structure: phonology, grammar, discourse. (Southern California occasional papers in linguistics (SCOPIL), no 6.) Los Angeles: Department of Linguistics, University of Southern California. Kurasa 213.
  • Herrmann, [Kapitän] C. 1904. Lusíba, die Sprache der Länder Kisíba, Bugábu, Kjamtwára, Kjánja und Ihángiro. Mitteilungen des Seminars für orientalische Sprachen, 7 (III. Abt.), uk. 150-200.
  • Kaji, Shigeki. (Ed.) 1998. Haya. (Textbooks for language training.) Tokyo: Institute for the Study of Languages and Cultures of Asia and Africa (ILCAA), Tokyo University of Foreign Studies.
  • Kaji, Shigeki. 2000. Haya vocabulary. (Asian and African lexicon series, no 37.) Tokyo: Institute for the Study of Languages and Cultures of Asia and Africa (ILCAA), Tokyo University of Foreign Studies. Kurasa 532. [ISBN 4-87297-772-6]
  • Kuijpers, Em. 1922. Grammaire de la langue haya. Boxtel (Hollande): Prokuur van de Witte Paters. Kurasa 294.
  • Rehse, Hermann. 1912/13. Die Sprache der Baziba in Deutsch-Ostafrika. Zeitschrift für Kolonialsprachen, 3, uk. 1-33, 81-123, 201-229.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.