Andreas Bauer
Mandhari
(Elekezwa kutoka Andrea Bauer)
Andreas Bauer (Guebwiller, Alsace, Ufaransa, 26 Novemba 1866 - Taiyuan, China, 9 Julai 1900) alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo aliyefia Ukristo China alipokuwa mmisionari wakati wa Uasi wa Mabondia.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Sala ya Kanisa ya Ki-fransisko - Benedictine Publications Ndanda - Peramiho, 1996, uk. 173-176
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |