Eustokia Calafato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Eustokia Calafato katika mchoro unaotunzwa huko Vatikano.

Eustokia Smeralda Calafato wa Messina, Italia (25 Machi 1434 - 20 Januari 1485).

Alikuwa mmonaki, halafu abesi katika Shirika la Mtakatifu Klara.

Alizaliwa akafariki katika mji huo. Maiti yake haijaoza.

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu bikira tarehe 11 Juni 1988.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eustokia Calafato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.