Messina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Messina


Messina
Majiranukta: 38°11′00″N 15°33′00″E / 38.18333°N 15.55000°E / 38.18333; 15.55000
Nchi Italia
Mkoa Sisilia
Wilaya Messina
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 243,315
Tovuti:  www.comune.messina.it

Messina ni mji wa Italia katika mkoa wa Sisilia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 3 kutoka juu ya usawa wa bahari. Ina bandari muhimu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Messina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.