Nenda kwa yaliyomo

Klara wa Montefalco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yesu Kristo akipanda msalaba moyoni mwa Mt. Klara (mchoro wa ukutani wa karne ya 14).

Klara wa Montefalco (Montefalco, Perugia, Umbria, 1268 - Montefalco, 17 Agosti 1308) alikuwa mmonaki wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko, halafu abesi wa shirika la Waaugustino[1].

Bikira huyo alimpenda motomoto Kristo katika mateso yake[2]

Papa Leo XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 8 Desemba 1881.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Agosti[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1.  Donovan, Stephen M. (1908). "St. Clare of Montefalco". Catholic Encyclopedia. 4. New York: Robert Appleton Company.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/66350
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.